Over 10 mio. titler Fri fragt ved køb over 499,- Hurtig levering 30 dages retur
Bliv medlem
Log ind Opret dig

MAAJABU YA SANDUKU LA DHAHABU

- Furaha na huzuni kwenye maisha yaliyounganishwa na safina na yaliyomo ndani yake

Bog
  • Format
  • Bog, paperback
  • 102 sider

Beskrivelse

Mahali fulani mashariki ya kati, sanduku la dhahabu la maajabu lilifichwa kutoka kwenye macho ya binadamu kwa maelfu ya miaka. Hakuna anayejua sehemu lilipo, lakini wengi walilitafuta, wakitumai kuwa mmoja wa watakaotatua siri: "Liko wapi sanduku la agano?"

Hadithi ya safina ilianza, sio wakati inatengezwa chini ya maelekezo ya Musa kwenye jangwa, lakini mbinguni, katikati ya vita kati ya shetani na Mungu. Matunda ya vita ilikuwa ni dunia iliyoanguka, majibu ya wokovu wetu ni sehemu ya sababu safina kutengenezwa. Yaliyomo ndani ya sanduku la agano ni kitovu cha maisha yaliyojazwa kwa neema ya Kristo.

Siku moja, wakati Yesu atakapokuja tena na kuonyesha sehemu iliyofichwa safina, maajabu ya muda mrefu yatatatuliwa. Lakini, kwa wakati huu, hapa kwenye hadithi ya safina ya dhahabu, na vitu vyake maalumu vilivyomo, na matokeo yake, sio tu kwa wale walioiona lakini kwa wale kati yetu watakaokuwepo humu duniani wakati wa mwisho.

Læs hele beskrivelsen
Detaljer
  • Sidetal102
  • Udgivelsesdato21-01-2020
  • ISBN139781479611850
  • Forlag Teach Services Inc
  • FormatPaperback
  • Udgave0
Størrelse og vægt
  • Vægt161 g
  • Dybde0,5 cm
  • coffee cup img
    10 cm
    book img
    15,2 cm
    22,9 cm

    Findes i disse kategorier...

    Se andre, der handler om...

    Machine Name: SAXO081